Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kocha wa Barcelona Ronald Koeman anataka kumuongeza mshambuliaji wa Lyon na uholanzi Memphis Depay, 26, katika kikosi chake Januari. (AD, via Goal
Hivi kweli wewe Anko nikupendae wakunichambua kama karanga?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mzee mwakaleli ajali ya mv bukoba alikua sec kati ya o level au a level. Humu bana bana acheni hizo namuita anko maana kwa kukadilia ana umri kama wa anko wangu wa sita kati ya nane kuzaliwa. Mnamzeesha anko
Halafu moud wewe mwenyewe sio muhenga ka kijana kabisa basi tu unataka gunia la shikamoooo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anko bana yaani kila unachhoongea naona unatania tu ila mv bukoba kuna sehemu umeisema humu tena kwa kirefuHivi kweli wewe Anko nikupendae wakunichambua kama karanga?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kiukweli ajali ya Bukoba ilinikutia nyumbani. Lakini pia ufupi/udumavu wangu ulinichelewesha kuanza darasa la kwanza, kwa maana hiyo nilimaliza darasa la saba nikiwa kijeba cha miaka 16.
Mimi ni mmoja wa vijana wa CCM niliye shiriki kukimbia kiccm (kukimbia kwa kuruka ruka huku kisigino kinagonga matakoni) kwa mfumo wa kangaroo.
Vita ya Kagera nilikuwa na akili zangu kabisa,handaki nilishiriki kuchimba kwa bibi yangu,yale mashilingi ya Idd Amin alikuja nayo mzazi mengi tu tukawa tunatapelia vibama usiku kilabuni.
Hawa yuu binti mpole [emoji137][emoji137][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tumeisha anza kufungana Anko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko bana yaani kila unachhoongea naona unatania tu ila mv bukoba kuna sehemu umeisema humu tena kwa kirefu
Am fine anko. Familia na aunt wazima?
Tumeisha anza kufungana Anko [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo ndio nimetoka kulumbana na Mpemba asubuhi.
Mungu ni mwema tunaendelea vizuri wote. Naamini nanyi huko Mungu anazidi kutenda.
Tumshukuru Mungu [emoji120]