r0c6x
Member
- Oct 17, 2020
- 16
- 10
Typing......
teh teh tehMzee wa Mwakaleli hapa upo na vijana wako mnabadirishana mawazo, mnacheka kuongeza siku za kuishi[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23],Kwa umri wako huo huyo mzee ni sawa na baba yako.swadakta, najua mhenga mwenzetu andjul atakanusha umri wangu
hapo ndio munazidi kunishangaza[emoji23][emoji23][emoji23],Kwa umri wako huo huyo mzee ni sawa na baba yako.
Maana mzee wa Mwakaleli alikuwepo wakati wa sekeseke la kuchafuka kwa hali ya hewa ya kisiasa Zanzibar mwaka 1984, ambayo ilipelekea kufukuzwa ndani ya CCM rais wa visiwa hivyo Aboud Jumbe na Waziri Kiongozi wake Brigedia Ramadhani Haji Fakhi
hapo ndio munazidi kunishangaza
mbona andjul haonekani kama ni mzee mwenye umri wa miaka 60 kwenda juu.
aigoooo huenda anatumia vumbi la congo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wee mpemba shwaini zako[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kwa maana hiyo wakati Mrema anaipelekesha CCM mwaka 1995 ulikuwa na miaka 10.
Kumbe tupo wazee wengi hapa[emoji23][emoji23]
mzee wa pwani, unaamini kweli kuwa huyu mla urojo ana 35?swadakta, najua mhenga mwenzetu andjul atakanusha umri wangu
Mrs.copnikumbushe hivyo viassignment uchwara nilivyokupa
nipo chini ya miguu yako, nifichie aibu yangu kama asemavyo bwanaamzee wa pwani, unaamini kweli kuwa huyu mla urojo ana 35?
Nikipata muda nakuletea ushahidi kudhihirisha umri wake.
Sema tu ni kijana ambaye yupo vyema kichwani na mwenye kuheshimu kila mtu.
umegeuka roboti kila unaloambiwa unafanya, hahahahahhaaaaaaMrs.cop
Father is strange
Lies afrer lies
Alice
Good detectives
Alhambra.....etc
umegeuka roboti kila unaloambiwa unafanya, hahahahahhaaaaaa
Babu mwenyewe mbayaaa😬😬
🤣🤣🤣swadakta, najua mhenga mwenzetu andjul atakanusha umri wangu
Salam kwenuteh teh teh
bilionea myoyambendi ameshalala muda huu, burudani zinaendelea hukoo
Mzee mwakaleli ajali ya mv bukoba alikua sec kati ya o level au a level. Humu bana bana acheni hizo namuita anko maana kwa kukadilia ana umri kama wa anko wangu wa sita kati ya nane kuzaliwa. Mnamzeesha anko[emoji23][emoji23][emoji23],Kwa umri wako huo huyo mzee ni sawa na baba yako.
Maana mzee wa Mwakaleli alikuwepo wakati wa sekeseke la kuchafuka kwa hali ya hewa ya kisiasa Zanzibar mwaka 1984, ambayo ilipelekea kufukuzwa ndani ya CCM rais wa visiwa hivyo Aboud Jumbe na Waziri Kiongozi wake Brigedia Ramadhani Haji Fakhi