Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
FB_IMG_1602962979958.jpg
 
nayasubiria maua ya rosella yawekwe picha yake, nina wasiwasi huenda ndio haya yanayoliwa na mbuzi wetu kila siku
Numbisa tafadhali.
mkorea wa Mtwara unayafahamu maua ya rosella
(nimekumisimoni)
Kwa msaada wa Gugo nakuletea maua ya rossela.....Assignment uliyonipa imenikondesha[emoji852][emoji852]

#Babu kumbe na wewe una moyo[emoji2088]
20201018_180843.jpg
 
Back
Top Bottom