D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
hii style nilinyoa mwaka 1995
hii style nilinyoa mwaka 1995
Eeeeh hiyo dushe + mbupu style umeshawahi eeehhii style nilinyoa mwaka 1995
dah nilikuwa sijaangalia vizuri hiyo styleEeeeh hiyo dushe + mbupu style umeshawahi eeeh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah nilikuwa sijaangalia vizuri hiyo style
hahahahahahaaaaaa nimecheka sana
😂😂😂😂😂😂😂😂sijaona comment yako hukowachangiaji wa uzi huu wameamua kutushushia mvua ya dharau na matusi kama hawana akili vizuri
teh teh teh
Nimepata mpemba
navumbika hasira zangu kama ndizi😂😂😂😂😂😂😂😂sijaona comment yako huko
Ila kwenye uchafu bana bana hawajawaona wakorea hawa jamaa siwaelewi kwenye kukoroga wali na mboga zake kisha woote wanakula humo,bado kuonja kwenye mwiko,kukoholea chakula na chafya wanaposhtukizwanavumbika hasira zangu kama ndizi
wale watu ni shidaa lakini tumeonekana wapembaIla kwenye uchafu bana bana hawajawaona wakorea hawa jamaa siwaelewi kwenye kukoroga wali na mboga zake kisha woote wanakula humo,bado kuonja kwenye mwiko,kukoholea chakula na chafya wanaposhtukizwa
Hiki ndio kichwa cha habari sasa.
Ukoloni ni hali ya kunyimwa uhuru hata kama anayekutawala ni mjomba wako.Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli watu wanamwaga nyodo kama zote.wachangiaji wa uzi huu wameamua kutushushia mvua ya dharau na matusi kama hawana akili vizuri
teh teh teh
Nimepata mpemba