Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwakuwa navyojua mwezi ujao unatimiza miaka 30 kamili kama nilivyokuona enzi zile za Mundo bar ya mtaa wa Yombo, Super Rose ya mtaa wa Ndalala, Kata ya 14, Wapiwapi Chang'ombe, au enzi za Disco pale Temeke centre.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kweli hukucheza Disco "Ushirika club" aka Margot miaka ileee?
Mkuu ni kweli hukulikuta Disco la DJ Ommy na Moses Justin pale California Dreamer Upanga?


Mkuu usijali nitakulindia siri zako[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Umenikumbusha mbali saaaana... Disco la kuruka majoka [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…