Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Auntie nilivyo na kihere here nimeibakisha episode 2 nimalizeπΆββοΈ
πππππππAuntie nilivyo na kihere here nimeibakisha episode 2 nimalizeπΆββοΈ
Father is strange ni tamu kuliko i`ll take careπππππππ
Father is strange ni tamu kuliko i`ll take care
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na fisi jeUkitoa binadamu, Sokwe na Panya ndio wanyama pekee pia ambao wana uwezo wa kucheka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na fisi je
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh kitakuwa kicheko tu kile maana ukiwasikia kwa mbali kabla haujawaona unaweza dhani ni binadamu ndiyo wanachekaNimemsahau ila kile sidhan kama ni kicheko au dhihaka zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππππππππππππππππππππππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh kitakuwa kicheko tu kile maana ukiwasikia kwa mbali kabla haujawaona unaweza dhani ni binadamu ndiyo wanacheka
haswaa, dada mwanasheria kapendezesha series, nikiwa mkubwa niwe kama yeye...1year marriageπDear aunt yaan najuutaaa kuipita. Tamu sana kila episode inaleta hamu ya kufatilia inayofuatia