The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Aunt una raha leo, Nakumbuka utoto mama au baba wakiwa wanafuraha ndio unakuwa muda mzuri wa kuomba unachotaka.....haya Auntie,naomba elaaπ€ππππππππππππππππππππππππππ
utazaa mkorea kwa kiherehereAuntie nilivyo na kihere here nimeibakisha episode 2 nimalizeπΆββοΈ
ππwe babu.. Lie after lie imeshamalizika?utazaa mkorea kwa kiherehere
Ngararumu..?
Nguo zake sasa mie hoooiii. Nywele ndo usisemehaswaa, dada mwanasheria kapendezesha series, nikiwa mkubwa niwe kama yeye...1year marriageπ
πππππππππnini hela .nyumba hio chukuaAunt una raha leo, Nakumbuka utoto mama au baba wakiwa wanafuraha ndio unakuwa muda mzuri wa kuomba unachotaka.....haya Auntie,naomba elaaπ€
2 episodes remaining........sijui sahihi kwa kiingilishiππwe babu.. Lie after lie imeshamalizika?
actualle, she is VizuriπNguo zake sasa mie hoooiii. Nywele ndo usiseme
ππππππhalafu kakutana na chizi mwenzie basi raha tu. Akili mojaππππhaswaa, dada mwanasheria kapendezesha series, nikiwa mkubwa niwe kama yeye...1year marriageπ
Actual karembo hata bila make up ila mama mkwe shwain zake anakaita eti kafupi hakajafikia vigezo avitakavyoactualle, she is Vizuriπ
πππAsanteπππππππππnini hela .nyumba hio chukuaView attachment 1608644
nyote wazembe....ππππππhalafu kakutana na chizi mwenzie basi raha tu. Akili mojaππππ
Hawa ni majanga tupuππππππ hasa mzee chico akili zake daah
nisipowaona hao amani sina nafsini mwanguHawa ni majanga tupuππππππ hasa mzee chico akili zake daah