Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

πŸ˜‚ πŸ˜‚ Mkewe anamwambia Umekuwa nyoka anajivua magamba, maana nyumba nzima imejaa nguo zako
episode 15 mama aliendeleza mgomo wa kuosha nguo za baba chico.....
baba chiko akaona isiwe tabu...
ngoja nikanunue chupi na soksi 30 kwa ajili ya matumizi ya mwezi

hahahahahahahaaaaaaaaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚jamaa ikanunua chupi za mwezi mzima kukomesha mgomoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kuna episode fulani mama alikuwa na mgomo wa kupika chakula....
baba chico akaingia jikoni kuandaa msosi.....
mama alitegea kile chakula watakula wote
kumbe chakula amepikiwa mbwa
hahahahahaaaaaaa
 
episode 15 mama aliendeleza mgomo wa kuosha nguo za baba chico.....
baba chiko akaona isiwe tabu...
ngoja nikanunue chupi na soksi 30 kwa ajili ya matumizi ya mwezi

hahahahahahahaaaaaaaaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚halafu anavyoongea sasa style ya i dont care banaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kuna episode fulani mama alikuwa na mgomo wa kupika chakula....
baba chico akaingia jikoni kuandaa msosi.....
mama alitegea kile chakula watakula wote
kumbe chakula amepikiwa mbwa
hahahahahaaaaaaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ile reaction ya yule mama sasa full burudani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ile reaction ya yule mama sasa full burudani
ila yule mama ndiye anayeathirika sana na vituko vya mume wake
unakumbuka siku aliyofungua mgahawa na hatimaye akamtembelea.

alimponda vibaya (hana mipango bora ya kuendeleza biashara)
teh teh teh
 
usinifanye niitafute tena
nimeihifadhi kwa muda, nimefika episode 16
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kule mbele tamu hio balaa.

Yule lastborn wa father nilianza muona kwenye drama ya age of youth basi kila nikivuta drama nyingine namuona pia. Na mwenzie yupo mule,nikavuta father i ll take care yumo mara do you lik brahm yupo
 
ila yule mama ndiye anayeathirika sana na vituko vya mume wake
unakumbuka siku aliyofungua mgahawa na hatimaye akamtembelea.

alimponda vibaya (hana mipango bora ya kuendeleza biashara)
teh teh teh
Nilipenda kicheko cha mama wanne,alipata faraja kwa yote aliyotendewa.

Ila ka mzee kanajua kukatisha watu tamaa yaan kalikosoa kila kitu ndani ya dakika tatu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚jamaa ikanunua chupi za mwezi mzima kukomesha mgomoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

episode 15 mama aliendeleza mgomo wa kuosha nguo za baba chico.....
baba chiko akaona isiwe tabu...
ngoja nikanunue chupi na soksi 30 kwa ajili ya matumizi ya mwezi

hahahahahahahaaaaaaaaa
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ wanawezana wale wazee,
 
do you like brahms hakuwepo....
halafu usije ukachanganya wale wadada ni mapacha na wote ni waigizaji
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚halafu anavyoongea sasa style ya i dont care banaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu mumewe ni jeuri, anamwambia kama unakereka fanya usafi, ila mimi nitafanya baadae hahaha
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ wanawezana wale wazee,
Kuna sehemu bana chico akajisaidia haja kubwa mzee akampa pole na kumpongeza hee mama si akamaind akalalamika mbelen,mzee akamsubiria katoka msalani akaanza mpa pole na kumuuliza kashusha mzigo salama,kajipangusa vizuri kisha akampongezaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…