Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

November 3. Hali ni tete sana. Bunduki na risasi madukani hakuna. Kila mtu anajihami. Trump akishindwa wafuasi wake hasa wale maracist weupe wameapa hawatakubali na wapo waziwazi wanatangaza mapambano. Ndiyo demokrasia !!!
Aiseee hawa ndio wanaotukoromea kila siku. Na balozi wao huku kajigeuza Amsterdam kutwa kulalamika
 
Aiseee hawa ndio wanaotukoromea kila siku. Na balozi wao huku kajigeuza Amsterdam kutwa kulalamika
Mambo hovyo tu. Kwa ajili ya Corona watu wengi wanapiga kura kwa njia ya posta. Trump analalamika kuwa anaibiwa kura watu wakipiga kura kwa njia hiyo; na amekuwa akisema mara kwa mara kuwa ikitokea akashindwa basi ni kwa kuibiwa kura na si vinginevyo. Na hili ndilo linawachochea wafuasi wake sana sana.

Wamarekani ukiwaona wamekuwa hivyo jua kuwa kuna mahali fulani maslahi yao na maswahiba wao yameguswa. Vinginevyo huwa hawajali...Na ni wa kwenda nao pole pole kwa sababu siyo watu wazuri wakiamua!

Nimenunua bunduki wiki ya tatu hii sijapata risasi na kuna waiting list ndefu kweli. Huko nyuma ilikuwa unanunua bunduki leo leo au kesho tu unaondoka nayo na risasi zote unazohitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…