Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2020-10-28 Instagram(2).png
 
JAMIIFORUMS.COM YAZUIWA (BLOCKED) KUONEKANA TANZANIA - Dakika chache zilizopita, tovuti ya JamiiForums.com imezuiwa kupatikana na baadhi ya watoa huduma (ISPs) na kupelekea wengi wao kuhangaika kuipata kwa kutumia VPN - Huduma inaendelea kutolewa kwa wateja, walio Tanzania wanakumbushwa kuzingatia matumizi ya VPN au 'Tor Browser' wakati jitihada nyingine zikiendelea - Uongozi wa JamiiForums unasikitika kuwa jambo hili lipo nje ya uwezo wake na kuwasihi watoa huduma za kimtandao (ISPs) kutowanyima wananchi haki yao ya kikatiba ya kupata na kusambaza taarifa
 
 
Back
Top Bottom