Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante bro, heshima yako pia..mimi sijambo, hope haujambo pia..

VPN yangu ipo salama kabsa, hawaniwezi hawa!!
Basi Tumshukuru Mungu bro [emoji16][emoji16][emoji16]

Kama unadhani VPN yako hawaiwezi hebu anza kurusha vitu vya kutaka kuvunja amani. Itazima sasa hivi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
072959B3-0374-4D1B-8631-611E97F7A21D.jpeg
 
Back
Top Bottom