Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndiyo ukizubaa unaondoka. Ni ama usimame sana katika maombi au ufanye mbinu uzijuazo vinginevyo hufiki mbali.Watu wanapoteza uhai kabisa huko. Waganga wamevuna pesaza kutosha
Ndiyo ukizubaa unaondoka. Ni ama usimame sana katika maombi au ufanye mbinu uzijuazo vinginevyo hufiki mbali.Watu wanapoteza uhai kabisa huko. Waganga wamevuna pesaza kutosha
haki pia itawale. kituko cha jana nakwenda kupiga kura cha ajabu kura yangu imeshapigwa tokea jumanneAmani itawale kipindi hiki
Amin Bro[emoji120]Basi Tumshukuru Mungu bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama unadhani VPN yako hawaiwezi hebu anza kurusha vitu vya kutaka kuvunja amani. Itazima sasa hivi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh kumbe. Naona mabeberu kimyaaa,sijui wanatuundia ishu ganiNdiyo wanaweza. Walinunua mitambo ya Israel naona. Ukichanganya na ya Mchina basi hakuna linaloshindikana. Inaonekana TCRA wako vizuri sana !!!
Hili ni anga la CHIEF MKWAWAwataalamu wa computer, laptop yangu imezima ghafla na charge pia haingizi..je kuna uwezekano wa processor kufa??.,.
kweliHili ni anga la CHIEF MKWAWA
kweli
mateso ninayopitia ni makubwa, kwa sasa acha ipumzike na pia akili ipumzike dhidi ya wavimba macho.Pole sana maana hasara ni kubwa hasa kipindi hiki mitandao ipo chini
Wapenzi wa drama na movies watanielewa
😂😂😂The don huyoooBasi Tumshukuru Mungu bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama unadhani VPN yako hawaiwezi hebu anza kurusha vitu vya kutaka kuvunja amani. Itazima sasa hivi [emoji16][emoji16][emoji16]
Haha madai Jimbo lake litatangazwa jioni, niko hapa nasubiri anuani yake nitume barua ya kazi😂Amelichukua jimbo la Mh. Lissu au la nani?
Afadhali tumepata mbunge angalau mmoja humu. Tumuombee sasa aukwae uwaziri hata kama ni unaibu [emoji1545][emoji1545]
Pole Baba chiccohaki pia itawale. kituko cha jana nakwenda kupiga kura cha ajabu kura yangu imeshapigwa tokea jumanne