Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ngoja kwanza waangalizi wao wa European Union watoe ripoti yao. Wakisema kwa kiasi kikubwa uchaguzi ulikuwa wa amani, huru na haki pamoja na kasoro za hapa na pale mambo yatakuwa poa. Ila wakisema uchaguzi uligubikwa na mizengwe na ulikuwa mbovu ndo hapo kutakuwa na kukoromewa sana. Bila shaka Amsterdam na mteja wake watakuwa tayari wameshapeleka ripoti yao huko.Duh kumbe. Naona mabeberu kimyaaa,sijui wanatuundia ishu gani
Hawa wengine nao wanapambana na hali yao. Wana uchaguzi wiki kesho pengine watasubiri kidogo.