Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh hatari na nusu. Hadi marekani wanalalalamika kuibiwa kura aiseee

Ndo maana nachukia keleel zao kila kukicha. Natamani mgombea kama lissu asingekua na backup ya beberu mpambano ungenoga sana. Tatizo jamaa anatetewa na barua za karipio juu

Hizo bunduki ni shida jamani. Watu watalipuano vibaya mno
 
Ni unafiki tu ila ngoja tuone itakavyokuwa..

Nyie huko vukeni salama...

Lissu ajiandae tena 2025 njia nyeupe. Na sasa nguvu zote azielekeze kwenye kupata katiba mpya na taasisi huru zinazojitegemea vinginevyo akina Amsterdam wataandika barua mpaka mikono iwaume...

2025 pengine atakuwa ame-calm down kidogo, more mature na majeraha yake ya kimwili na kisaikolojia yatakuwa yameanza kupona.

Kwa hali ya sasa kuiondoa CCM madarakani ni ndoto !!!
 
Kabisa pambano la 2025 litakua kubwa zaidi. Wakijipanga na kutoa elimu zaidi kwa wafuasi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…