myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Yeah nahisi hii ni sababu lakini pia wengine nadhani wameshindwa kutumia VPNs hawana access na social media zote!Kumbe ndo maana tupo wachache
Vpn inavutika kirahisi google sema wengi hawajui jinsi ya kuidownload wamezoea kila kitu playstore ambayo ipo blockedYeah nahisi hii ni sababu lakini pia wengine nadhani wameshindwa kutumia VPNs hawana access na social media zote!
WaTz wengi huwa hawawezi kujiongezaVpn inavutika kirahisi google sema wengi hawajui jinsi ya kuidownload wamezoea kila kitu playstore ambayo ipo blocked
WaTz wengi huwa hawawezi kujiongeza
Huku Tora Bora mbona hilo kombora halijaonekana? πWale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?
Wasalaam, Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah! Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tuliiπππ toka jana hama instaπ, gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake...www.jamiiforums.com
Jamaa alikuwa na hasira na wapinzani huyu, daah. ππMitano tenaaaa [emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 1615087
ππππππhuko mnalindwa imara na AmsterdamHuku Tora Bora mbona hilo kombora halijaonekana? π
ππππ... Huyo jamaa ukurasa wake unafungwa rasmi leo.ππππππhuko mnalindwa imara na Amsterdam