myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni mnaoendelea na kazi
Duh!!!Pambana na hali yako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1618754
Hongera kwa ushindiAtashinda bila shaka...
Kamati ya ushindi itavunjiwa ikulu na mawizarani huko shemeji. Miye nilikuwa mshauri tu lakini na strategist wa mambo fulani fulani hivi...
🙏🙏🙏Wasafiri woote mfike salama
AminMungu atupe afya na uzima🙏🙏
Tupo mkuu na majukumu ya kilimoPoleni wakulima wote..