myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!!!Pambana na hali yako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1618754
Hongera kwa ushindiAtashinda bila shaka...
Kamati ya ushindi itavunjiwa ikulu na mawizarani huko shemeji. Miye nilikuwa mshauri tu lakini na strategist wa mambo fulani fulani hivi...
πππWasafiri woote mfike salama
AminMungu atupe afya na uzimaππ
Tupo mkuu na majukumu ya kilimoPoleni wakulima wote..