Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi Wakorea huwa hawana drama za kunyanduana?
Hivi bro siku hizi umekuwaje? Mara kitu cha Arachuga waziwazi. Mara kunyanduana. What's going on? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Niliona kwenye ramani moja hivi ya kiajabu ajabu jamaa yaani wako mkiani kabisa huko kwenye size za mjurubeng duniani...yaani ni fulu viokra. Yaweza kuwa sababu hawafagilii mambo hayo hata kama ni kuigiza...au pengine ni taboo katika jamii yao. Ni haipothesia tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
nipo kawaida bro [emoji16][emoji16],hasira za kuzimiwa Internet hizi

Sema hizo drama, kuna mtu namtafutia, mimi sio mpenz sana wa hizi drama za kikorea
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ukimuona ninge umemuona cole maana wana akili moja na maswali yao yale yale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…