Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Umeeona mzee, ziko na mashabiki wengi sanaAlaf zinapendwa zitakua ni nzuri
Umeeona mzee, ziko na mashabiki wengi sanaAlaf zinapendwa zitakua ni nzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja ntazitafuta hizo hizo tu, wakorea tatzo ucomedy sana yaan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee wana za denda tu daah kama mate wanabadilishana balaaa
Ila za x zipo site zile za hub sidhan kama wana movies za hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukimuona ninge umemuona cole maana wana akili moja na maswali yao yale yale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tabia za wadau wa MMU kusingizia watu matatizo yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes, Asantee maana nilikuwa nahangaika kupitia post za nyumaAnza safari na my golden life episode kama 50 hivi
Kuna moja napanga kuivuta sijui itakua nzuri,nitakujulishaYes, Asantee maana nilikuwa nahangaika kupitia post za nyuma
😄Kwa Kujilipua tu nakuaminia Anti,🙏Kuna moja napanga kuivuta sijui itakua nzuri,nitakujulisha