Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2 losses in 3 days. Unacceptable. why is ole still here? get him out of my club OleOut We play the worst football of all the teams in the CL. we have no structure no tactics the players are clueless on the pitch it's 100% 'Go out there and have fun football'. not good enough!!!
 
Screenshot_2020-11-04 Instagram.png
 
Sijui trump ana hali gani. Kusubiria inahitaji uvumilivu
Maji yako shingoni. Amekimbilia mahakamani akitaka kura ziache kuhesabiwa eti anahisi anaibiwa. Ukweli hata hivyo ni kwamba kura zinazohesabiwa ni zile zilizotumwa kwa njia ya posta pamoja na za wanajeshi. Tatizo ni kwamba nyingi kati ya hizo ni za Democrats kwa sababu walikazana sana kuhamasisha watu wapige kura kwa njia hiyo wakiogopa Korona.

Tayari Wisconsin kashinda Biden na hata kwenye majimbo aliyokuwa akiongoza Trump Biden anakuja kwa kasi. Kura zikiendelea kuhesabiwa inaonekana Trump atapigwa japo ameshasema hatakubali kuibiwa na atapambana mpaka Mahakama Kuu. Demokrasia [emoji16][emoji16][emoji16]
20201104_152934.jpg
 
View attachment 1619734
Demokrasia ngumu sana
 
Back
Top Bottom