Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
#Ni Yeye
Jimbo hilo atapitwa tu na kipenga kitapulizwa
Duh!!! kulikoni
Mmmh trump kazi kulalamika tu. Akifungiwa account twitter sijui itakuwaje
Soon anachaguliwa ubunge
Wanazifukia baadhi ya tweet zake hasa zile anazodai keshashindaMmmh trump kazi kulalamika tu. Akifungiwa account twitter sijui itakuwaje
Halafu zipo zinazomuumbua alipotoa kauli kura za obama zisirudiwe kuhesabiwaWanazifukia baadhi ya tweet zake hasa zile anazodai keshashinda