ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Ina maana mwisho wa karne hii tu kila aliyemo humu hatakuwepo kwenye dunia hii.
DuhMiaka 80 tu ijayo kila aliye na miaka 25 hatokuwepo tena.
Usiku wa pipii
Usitufokee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ina maana mwisho wa karne hii tu kila aliyemo humu hatakuwepo kwenye dunia hii.
#Ni YeyeKuna jamaa alikua na tumaini kufikia tarehe ya Leo atakua kaandaa dhifa kubwa sana pale makao makuu ya nchi,
Sasa hivi kakaa kwenye sofa la nyumbani kwake.