ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Asubuhi ya chai
Salam kwenu
Jua linachomoza na matumaini mapya..
Iwe siku yenye matumaini
Salam kwenu
Na ijayo hivyo hivyo 😀😀
Asante kwa busara zako mkuu4. Vumulia na usikate tamaa mapema.
Mafanikio yanakuja kwa watu wote ambao wanavumulia na hawakati tamaa mapema, nawe pia unatakiwa uwe miongoni mwao. Najua unakutana na mambo mengi sana lakini vumilia kila hali na usiruhusu kukata tamaa hata kidogo. Ukiweza kuvumilia na kuacha kukata tamaa mapema utafika mbali sana kimafanikio.
Fanyia kazi mambo haya na uwe na uhakika mafanikio kwako hayataweza kukusumbua kwa kitu chochote kile kwako.