Sijambo pia mrembo,
Poa...naona kweli haujambo na unaonekana unafuraha kweli 😀😀Sijambo pia mrembo, mambo?
Yea! Leo imekua siku ya pekee sana!Poa...naona kweli haujambo na unaonekana unafuraha kweli 😀😀
Yea! Leo imekua siku ya pekee sana!
At least Dunia iko na furaha sina sababu ya kukosa furaha. Nafurahi pia uko hapa, nadhani una furaha pia sana leo.
👏👏👏
Yule kocha lazima ataondoka tu, bado anabahatisha, kila akikaribia kutimuliwa anashinda...atafungashiwa virago mda si mrefuPeople said where’s your ole out post, guys i’m still ole out if experience managers available then we still have this shit manager make no sense if Poch or allergy today’s our manager they do better job then ole #oleo
Me sidanganyiki! Shabiki wengi pia nmeona wanasema bado tunamtaka aondoke!!Yule kocha lazima ataondoka tu, bado anabahatisha, kila akikaribia kutimuliwa anashinda...atafungashiwa virago mda si mrefu
Time will tell!Me sidanganyiki! Shabiki wengi pia nmeona wanasema bado tunamtaka aondoke!!
Thats for sure!Time will tell!