Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo wana furaha lakini wafuasi wa Trump wanatishia kupambana. Kidogo kuna hali ya wasiwasi pia kwa sababu huyu baba ana wafuasi lunatic ambao wako tayari hata kufa wakimpambania.
Awamu ya biden ndo itakua muda mzuri wa waafrika kueleweshwa maana ya beberu😂😂😂😂😂 trump aliwekeza bifu na wachina akatusahau
 
Epuka sana kutumia vipodozi hivyo na hata kununua vipodozi kutoka kwenye maduka hayo. Chagua vipodozi vyenye ubora mzuri na ufanisi mzuri na vinavyopatikana kwa bei unayoimudu ili uweze kuvitumia vizuri na kwa uhuru bila kuathiri uchumi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…