moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ngoja nikusaidie kuwatag:Si tuliopo ni wazima ingawa kuna watu wachache wamepotea kabisa humu.
Carbamazepine na Hawachi popote mlipo kotokezeni angalau mje msalimie kisha mruci kwenye majukumu yenu
Upo binti yangu? Umepotea mno jamani kha! Natumaini kuwa hujambo pamoja na wapendwa wako. Mungu Aendelee kukubariki sana binti yangu mpole wewe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]SYB[emoji847][emoji847][emoji847]
Bro Cole Williams. Long time no see. Natumaini hujambo huko pamoja na wapendwa wako. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Vizuri sana! Pokea pia salam kutoka hapa kwangu.Bro Niko mzima nashukuru Mungu ni Mwema sana vipi upande wako natumaini uzima na amani ya moyo vyote vipo
Mungu ni wa kushukuriwa kwa kweli
in real life?Maisha yanaenda kasi sana jakito binti ya buyenze
Ki JF tuππππin real life?
Okay, sijui niliwaza nini hata! Inawezekana kito awe msuku kweli??Ki JF tuππππ