The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
ππMwandiko mzurii, revolution kibao
Kuna wale walimu wetu wanasaisha muandiko! Pumba miiingi ila namna muandiko unapangika na points kurembwa Tcha anajikuta anatoa marks mzuri kabisaaa!!ππMwandiko mzurii, revolution kibao
DuhMaisha yanaenda kasi sana jakito binti ya buyenze
Halafu kweli, sio maticha wote wanasomaga maelezoKuna wale walimu wetu wanasaisha muandiko! Pumba miiingi ila namna muandiko unapangika na points kurembwa Tcha anajikuta anatoa marks mzuri kabisaaa!!
Ni hakika TH.Halafu kweli, sio maticha wote wanasomaga maelezo
numbisa unataka bakora kutoka kwa mwalimu wa somo la hallyu star?Daemusin yule binti wa father ll take care na age of youth ni huyo huyo ndani ya do you like brahm. Nimeangaliita goole
numbisa unataka bakora kutoka kwa mwalimu wa somo la hallyu star?
utapata carry
nakumbuka hukuitaja father ill take care of you bali ulitaja father is strange ndio maana nikapingana na wewe (nikakuwekea picha ya wale mabinti mapacha ambapo mmoja wao alishirikia father is strange na age of youth).
binti uliyemkusudia wewe ni park eun bin ndiye aliyeigiza do you like brahms, age of youth na father ill take care of you
ππππππππOkay, sijui niliwaza nini hata! Inawezekana kito awe msuku kweli??
Hah now I know ni kjf tu π
fanya uhame mwanza, huenda kuna watu wajinga wanacheza na akili zako,ππππππBasi ilikua typing error.ila brahm mbovu nimepoteza tu mb zangu
fanya uhame mwanza, huenda kuna watu wajinga wanacheza na akili zako,
drama inayopendwa cha ajabu kwako yawa chukizo
hata zile struggles za kimaisha na mahusiano za vijana wawili hadi wanne hazijakushughulisha.......πππππππjamani.Jana nimemaliza episode zote 16 kwa style ya kupeleka mbele ilipofika mwisho fasta nikaifuta
hata zile struggles za kimaisha na mahusiano za vijana wawili hadi wanne hazijakushughulisha.......
Numbi Numbi Numbi nimekuita mara 3
hata zile tambo za maprofessor wawili (ma ahjumma hashuo) hazijakushughulisha.Kabisaaa sijaona. Bora forest imenigusa na kunichukulia attention yote
hata zile tambo za maprofessor wawili (ma ahjumma hashuo) hazijakushughulisha.
mhhhhhhhh nikupe mji