Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maktub [emoji120]
Basi bana siku moja nikaamka fulu kiherehere eti nataka kujifunza Kiarabu. Mweh!

Unaambiwa mizizi ya nomino ni konsonanti tupu mf ktb. Sasa ni juu yako kucheza na irabu tu kuleta maana inayotakiwa...na kivuli hafifu cha michezo hiyo migumu tunaiona katika Kiswahili.

Kitabu
Katiba
Katibu
Maktaba
Mkutubi

Nilinyosha mikono na kwenda zangu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Mkataba [emoji16]
 
Ni nini sasa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…