myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku wa pipii....
Achana na hilo wazo Shemeji wewe fungua zizi la ng'ombe tu.
Hakuna alie mfikia Dada yako.Matipo choisi kweshenzi zingine bana dah [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1625142
Naona Babu upo na mzigo wa kutosha
Msalimie sana. Mna watoto wangapi sasa hivi?Hakuna alie mfikia Dada yako.
Tatizo, Mjomba wewe huji kuona watoto wenuuMsalimie sana. Mna watoto wangapi sasa hivi?
View attachment 1625271
Bila kulipa mahari yote hutaona mjomba wala shangazi. Na likitokea tatizo kubwa ndo utajua kuwa hujui. Mpare hoooovyoooo [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Tatizo, Mjomba wewe huji kuona watoto wenuu