myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Salam kwenu
Jamani wandugu mlio ao usukumani naomba mbisaidie. Huyu shemeji yangu alisha kuja kuchukua ng'ombe anaotaka tena akaacha ndama tu. Mpare kama mnavyo nijua sinatofauti na mpingo. Nikajibana mpaka ndama wakakua sasa ni ng'ombe kama 2000. Jamaa anataka nimlipe tena mahari.Bila kulipa mahari yote hutaona mjomba wala shangazi. Na likitokea tatizo kubwa ndo utajua kuwa hujui. Mpare hoooovyoooo [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Oohoo, 😬Tom McCarthy sipendi tabia yako ya kufuta comments
Tumechat pamoja uzi wa tamu za numbie,umepata ulichotaka ukafuta comments dharau ilioje ,kuchoreshana tu soon ntakutupia ignore list. Boring mfyuuuu zako
Davinc
Utaruka ruka sana lakini mwisho wa siku mahari utalipa tu. Utakwenda wapi? Nilikuwa nasikia kwenye TV tu kuwa Wapare ni wabahili nilikiwa siamini. Narudia tena mahari utatoa tu [emoji51][emoji51][emoji51]Jamani wandugu mlio ao usukumani naomba mbisaidie. Huyu shemeji yangu alisha kuja kuchukua ng'ombe anaotaka tena akaacha ndama tu. Mpare kama mnavyo nijua sinatofauti na mpingo. Nikajibana mpaka ndama wakakua sasa ni ng'ombe kama 2000. Jamaa anataka nimlipe tena mahari.
Je ni sawa???
Au nafanyiwa makusudi mimi?
AiseeI need likeeeeeeeeee