Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1605231047243.jpg
 
Utaruka ruka sana lakini mwisho wa siku mahari utalipa tu. Utakwenda wapi? Nilikuwa nasikia kwenye TV tu kuwa Wapare ni wabahili nilikiwa siamini. Narudia tena mahari utatoa tu [emoji51][emoji51][emoji51]
Ok sikuwa najua natakiwa kulipa mara mbili asante Shemeji kwa kunielewesha. Jee hii ya mara ya pili natakiwa kulipia nini na nini?
 
Back
Top Bottom