moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huko chooni unaenda, Ila unafyatua keki huko! 😁
[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Ok sikuwa najua natakiwa kulipa mara mbili asante Shemeji kwa kunielewesha. Jee hii ya mara ya pili natakiwa kulipia nini na nini?Utaruka ruka sana lakini mwisho wa siku mahari utalipa tu. Utakwenda wapi? Nilikuwa nasikia kwenye TV tu kuwa Wapare ni wabahili nilikiwa siamini. Narudia tena mahari utatoa tu [emoji51][emoji51][emoji51]