Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Duh! Kama mathematics [emoji16]Hii ni Linguistics (Isimu) kamanda
Kuna Mathematical Linguistics na Computational Linguistics kama unapenda mahesabu. Hawa ndiyo watu wa machine learning huko, machines translation na mengineyo. Au unaweza kufanya Clinical/Psycholinguistics huko ukafanya kazi mahospitalini kwa watu wanaojifunza kuongea baada ya stroke au watoto wenye matatizo ya kuzungumza. Linguistics ni uwanja mpana sana.Duh! Kama mathematics [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]