Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Je wajua #Chanjo hufanya kazi namna gani? Chanjo hukupa kinga kutokana na maambukizi kabla maambukizi hayajakushika. Ugonjwa unapowasili, utakuta mwili wako umetengeza vikingamwili.
Salama mdada, habari za masiku mdada mwenye rangi yake?Habari yako wewe mkaka
Heshima yako ankoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
urembo wa hina huwafanya wadada wapendeze sana...Weekend njema
View attachment 1631239
Je wajua.?Asilimia 90 ya watu hutumia ujumbe mfupi (text message) kufikisha yale wanayoshindwa kusema ana kwa ana.!~tunajifichia kwenye keyboard
AiseeHugs make you healthier.
Duh!!!Einstein's brain was stolen when he died.