Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh! Kama mathematics [emoji16]
Kuna Mathematical Linguistics na Computational Linguistics kama unapenda mahesabu. Hawa ndiyo watu wa machine learning huko, machines translation na mengineyo. Au unaweza kufanya Clinical/Psycholinguistics huko ukafanya kazi mahospitalini kwa watu wanaojifunza kuongea baada ya stroke au watoto wenye matatizo ya kuzungumza. Linguistics ni uwanja mpana sana.
 
Je wajua

V8 (Vieite) sio gari bali ni aina ya engine. V8 engine ina cylinder nane zilizopangwa katika mfumo wa herufi V (V inline engine) nne kila upande. Hi ndo sababu kubwa ya V8 kutumia mafuta mengi na kuwa na uwezo mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…