Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Salama mdada, habari za masiku mdada mwenye rangi yake?Habari yako wewe mkaka
Heshima yako ankoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
urembo wa hina huwafanya wadada wapendeze sana...Weekend njema
View attachment 1631239
Je wajua.?Asilimia 90 ya watu hutumia ujumbe mfupi (text message) kufikisha yale wanayoshindwa kusema ana kwa ana.!~tunajifichia kwenye keyboard
AiseeHugs make you healthier.
Duh!!!Einstein's brain was stolen when he died.