D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Kwa aliyejaaliwa kupata chakulaMchana wa kula
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeTatizo mwandiko unalaza sana, haubadiliki [emoji3][emoji3][emoji3]
Tuzidi kumshukuru Mungu [emoji120]
Karibu sana Anko
Hahaha umemtafunia hadi mifupa ankoAnko wangu kutoka kanda ya kati... Tajiri fulani wa madini na mtani mkubwa wa Wasukuma.
Ni kijana wako wa karibu zaidi kuliko hata binti mpole au Davet na Bradha japo sio capitalpool wala Mkokaa ingawa Taavid sijui yuko wapi, achana na Daemusin,mwandiko wake upo Kikorea zaidi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Marahaba Dae, kwema huko ndugu yangu?babu nakusalimia, wambaje? wabesa au wabesuliwa? jaajee mkuu? shikamoo babu...chei chei babu...zote wazikumbuka za visiwani?..
huku kwema mpaka muda huu, huyu frank mtakatifu ndio yule mtoto wa mungu mlima maparachichi?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Marahaba Dae, kwema huko ndugu yangu?
Hivi ningendako yupo kweli?huku kwema mpaka muda huu, huyu frank mtakatifu ndio yule mtoto wa mungu mlima maparachichi?
Hahaha jasusi uchwara unaharibu sasahuku kwema mpaka muda huu, huyu frank mtakatifu ndio yule mtoto wa mungu mlima maparachichi?
uchaguzi uliondoka na sifa yake ya kuchat na marafiki..tumpe muda ajitathmini si unajua tena alipata kura 100Hivi ningendako yupo kweli?
bado sijakukamata brother ila ngoja nirudi nyuma huenda code nikazifanyia debuggingHahaha jasusi uchwara unaharibu sasa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]uchaguzi uliondoka na sifa yake ya kuchat na marafiki..tumpe muda ajitathmini si unajua tena alipata kura 100
nitafanya hivyo babu, vipi kuhusiana na kizingiti cha mlango wake abaki nacho?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huwa napenda sana harakati zake. Akirudi mfikishie Salaam zangu za dhati kabisa.
Ndiyo. Ni halali yake. Tusimbugudhi kabisanitafanya hivyo babu, vipi kuhusiana na kizingiti cha mlango wake abaki nacho?
alikupa mualiko wa harusi?Ndiyo. Ni halali yake. Tusimbugudhi kabisa
Aaaa wapi... Huyo bwana mdogo ni mkaidi sana, mambo yake huwa ashirikisha watu wachache ati. Kumkosea kitu hata sijawahi ujue!alikupa mualiko wa harusi?