Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Salama kabisa princess wa mzee wa liver.In law habari ya wewe
Birigi hawajambo??
hii script ya leo mbona ngeni machoni mwangu. Au umeandikiwa na mkorea mwenye kichogo? Nimezowea walevi poleni, wasafiri mufike kileleni n.kHongera walezi wa familia
vijana mfano wake hutafuta ushauri kwa wazee pindi wanapoharibu..ngoja ampe mimba mtoto wa ndugai ndio utajua whether namba yako ya simu anayo au laaAaaa wapi... Huyo bwana mdogo ni mkaidi sana, mambo yake huwa ashirikisha watu wachache ati. Kumkosea kitu hata sijawahi ujue!
Aaaah! Kumbe kipenzi chake na Shiro? Tajiri wa Nyarugusu? Asante kwa ufafanuzi.Anko wangu kutoka kanda ya kati... Tajiri fulani wa madini na mtani mkubwa wa Wasukuma.
Ni kijana wako wa karibu zaidi kuliko hata binti mpole au Davet na Bradha japo sio capitalpool wala Mkokaa ingawa Taavid sijui yuko wapi, achana na Daemusin,mwandiko wake upo Kikorea zaidi.
Hii habari ni ya kweli? Maalim na wenzake wamekubali rasmi kuingia kwenye tafrija ya ulaji wa keki ya taifa?Hussein mwinyi amewakalia vibaya wenzake..kuna watu muda huu wanaharisha kama ngisi
Hahahah aisee wewe jamaavijana mfano wake hutafuta ushauri kwa wazee pindi wanapoharibu..ngoja ampe mimba mtoto wa ndugai ndio utajua whether namba yako ya simu anayo au laa
hahahahaaa..hao mabwana wawili ili wapate nafasi hizo italazimika wateuliwa na raisi nafasi ya uwakilishi...ni poster lililobeba uvumi...ngoma bado ngumu kwa sababu wananchi wamekuwa na mtazamo tofauti kila sehemu anayopita maalim kukusanya mawazo juu ya swala hilo la GNUHii habari ni ya kweli? Maalim na wenzake wamekubali rasmi kuingia kwenye tafrija ya ulaji wa keki ya taifa?
View attachment 1632368
Nini ushauri wako kwa Maalim na ACT kuhusu jambo hilo?hahahahaaa..hao mabwana wawili ili wapate nafasi hizo italazimika wateuliwa na raisi nafasi ya uwakilishi...ni poster lililobeba uvumi...ngoma bado ngumu kwa sababu wananchi wamekuwa na mtazamo tofauti kila sehemu anayopita maalim kukusanya mawazo juu ya swala hilo la GNU
Unahitaji kupimwa mkojo.....Saa 10:00pm nitaongoza kikao cha dharura kumujadili myoyambendi juu ya kutujazia sever kwenye thread hii.
Riziki hutoka kwa MunguKwa aliyejaaliwa kupata chakula
Ndio nini....kuwakalia..Hussein mwinyi amewakalia vibaya wenzake..kuna watu muda huu wanaharisha kama ngisi