Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hizi muvi zetu za kibongo bana..[emoji3][emoji3][emoji3] , Eti kuna wana wawili wameenda Kwa Mganga Wapate bahati na utajiri dizaini ki Ginimbi[emoji23][emoji23] sasa mganga akawapa masharti wanatakiwa kila MTU ajambe Mara nne mfululizo...mwambA mmoko wao akamwambia mganga mwenzangu yupo vzr naomba ajambe yeye mara nane [emoji23][emoji23][emoji23] nikaona kweli hizi ni "SINEMA ZETU"
 
400097300429_170505.jpg
 
Back
Top Bottom