donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Tilishoooπ©
πJua linachomoza na matumaini mapya
Naona unajiandaa kwenda job huku ukisukumizia na likes eeeh!? Kawe na siku njema TH[emoji122]
nahitaji kupimwa mkojo.....nahisi kama vile nimechanganyikiwa
Amen The don asante sana...Leo nipo safarini niko hapa nasubiri pole za wasafiri!Naona unajiandaa kwenda job huku ukisukumizia na likes eeeh!? Kawe na siku njema TH
Nimepona kwa jina la Yesu Kristo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1633474
Huko sehemu sahihi....usitafute malumbanoFanya hivyo maana unakoelekea utavaachupi kichwani humu jukwaani....!