Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kiwanda cha Filamu nchini Nigeria "Nollywood" kinashika namba mbili kwa ukubwa zaidi duniani kwa idadi ya Filamu nyingi zaidi ambazo imezalisha.
Je wajua diamond platnum ndio msanii maarufu zaidi east africaNomophobia ni uoga wa kutokuwa na simu yako au kupoteza signal.
Hii ni simpo kuifanyia utafiti maana korosho tunazo.Tafiti: Wanaume wanaokula mara kwa mara korosho husaidia kuongeza ubora wa mbegu zao za kiume.
Aisee...hata mimi niliigusaSimu aina ya Nokia 1100 ndiyo kifaa cha kielektroniki kilichouzwa zaidi kulivyo vyote mpaka sasa, Zaidi ya Nokia 1100 milioni 250 ziliuzwa duniani.
Simo....49% ya watu Duniani hawajafanya jambo lolote la maana jana.
😂😂😂😂😂 wa nazi na karanga mbichi mshafanyia utafiti?Hii ni simpo kuifanyia utafiti maana korosho tunazo.
Anko tupia kautafiti kengine ukajazie nyama kidogo [emoji39][emoji39][emoji3][emoji3][emoji3]
Wamerudi bungeni kivingine.Hii kapo iko ngangari balaa.....
View attachment 1634451
Umezungukwa na wenzio. DJ mtoto wa mjini kapiga hela hapo kama alivyofanya kwa mamvi. Unafikiri bila ruzuku chama atakiendeshaje?
Wewe jiuzulu tu aje Nyalandu achukue hicho kiti. Huna chako hapo [emoji16]
AminPoleni wagonjwa wote..
Mungu awaponye 🙏 🙏
Kunyamaza ni hekimaKunyamaza sio kukosa la kuongea.....