Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kilimo ndio uti wa mgongo..
Poleni wakulima wote.
FB_IMG_1586760515210.jpg
 
England mlishinda vita ya Falklands, April 2---Jun 14 1982, mkaja kushindwa vita yenu nyingine na Argentina mwaka 1986 Mexico.
Ilikuwa mechi ya kisasi.
Ilikuwa lazima Argentina ishinde hata kwa goli la mkono.


Pumzika kwa Amani Diego Armando Maradona.
Ulikuwa ni askari kamili uliyepigania heshima ya nchi yako
FB_IMG_1606341696390.jpg
 
Back
Top Bottom