Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,789
- 39,513
Ile I'd imenigomea nilipenda niendelee nayo.Welcome backkkkkkkkk.
Mbona ID mpya?ile nzuri imeenda wapi?
Ile I'd imenigomea nilipenda niendelee nayo.Welcome backkkkkkkkk.
Mbona ID mpya?ile nzuri imeenda wapi?
Hahaha😂😂😂😂😂😂hawachi pekee ndo huwa anatuita wapendwa tena kwa lugha tamu iliyotulia
Ile I'd imenigomea nilipenda niendelee nayo.
Nimejaribu mpendwa huko pm kuwabembeleza nikaona kimyaUkitaka kuirudisha wafate mods pm. Ukiweza kuthibitisha baadhi ya vitu wanakurudishia
Nimeyapata sis hata kama ni kauli mbiu mfu za kujipiga kifua na kujimwambafai tena kinadharia tu. Shemeji yangu huyo mtata sana. Tuendelee na mambo mengine ya maana zaidi sis....[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nimejaribu mpendwa huko pm kuwabembeleza nikaona kimya
Asante mpendwa.Niliwamiss aiseeePole basi unauliziwa kila kona. Mfano kuna uzi wa kumtafuta mshana na wewe ukatajwa humo
Asante mpendwa.Niliwamiss aiseee
Hapana mpendwa hawezi kuniiba atarudi inshaalahTulikumiss pia tukajua KD kakuiba maana na yeye kapotea