Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20201123-083639_1606408904408.jpg
 
Karibu sana Mpendwa Hawachi. Tumelalamika weee mpaka mabaharia wakaanza kusema eti uliolewa ndo maana ukapotea. Hujambo lakini? Karibu tena na Mungu Aendelee kutubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante mpendwa. Sijambo,hakuna mabaharia wanao nifahamu kiasi kujua nimeolewa ama la
 
Back
Top Bottom