Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Trump kwa hapa wanamuonea hao wa saddam na bin laden wameua askari wengi zaidi
Siyo askari tu. Maelfu ya raia pia.Trump kwa hapa wanamuonea hao wa saddam na bin laden wameua askari wengi zaidi
Duh aiseeeeSiyo askari tu. Maelfu ya raia pia.
Ila kwa mtazamo wa Wamarekani hayo mauaji mengine yalikuwa ni "halali" kwa sababu walikuwa wanapigania interest zao. Na hivyo pengine hayahesabiki. Sad !!!
Heshima yako Simba mwenye manyoya
Kweli kabsaUkibadilisha ID tu anajua..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawachi pekee ndo huwa anatuita wapendwa tena kwa lugha tamu iliyotulia
Salaam mpendwa.Yes mpendwa
Nipo mpendwa nilijiweka karantini Jf kwa mda nimefurahi kuwakuta ni wazima wapendwaSalaam mpendwa.
Kupotea kwako kulinipa mashaka, hasa kipindi kile cha karantini.
Karibu tena
Karibu sana Mpendwa Hawachi. Tumelalamika weee mpaka mabaharia wakaanza kusema eti uliolewa ndo maana ukapotea. Hujambo lakini? Karibu tena na Mungu Aendelee kutubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Heshima yako Simba mwenye manyoya