Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila mwaka 40%-50% ya wavutaji wa sigara hujaribu kuacha kuvuta sigara lakini ni 5% tu ndiyo hufanikiwa kuacha.
Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanyika nchini Marekani kwa miaka mitatu mfululizo, 2015-2018 na kuchapishwa kwenye jarida la The Times mwaka 2018.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…