Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji818][emoji818][emoji818]
IMG-20201204-WA0028.jpg
 
Miye nilikuwa najaribu kukufanulia tu kuhusu huo mtafaruku uliotokea - jambo ambalo siyo la kawaida katika huu uzi japo huwa linatokea sometimes. Ila huwa tunasameheana na kusonga mbele....

Ndiyo lockdown inaboa kichizi na hii kufanyia kazi nyumbani aisee siyo lelemama. Yaani JF hapa ndiyo kimegeuka kijiwe cha kupotezea muda. Ngoja tuone haya ma-vaccine yao kama yataleta unafuu. Take care of yourself and your loved ones mpaka mambo yapoe bro. Mungu Atulinde tuvuke salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Cheers too [emoji870][emoji870][emoji870]
I appreciate bro. Actually, I don't have problem with anyone here because I believe we are all friends here though we don't know each in real world setting. Na sikuona kosa langu kwa sababu tunaquote chochote kilichoandikwa regardless aliyeandika whether anataka or not. Kumpangia mtu nini cha kufanya JF isn't the right place. BTW, kuna ignore option, if someone feels like offended unamtupia huko kwa [emoji1005] than making unnecessary noise.

Yeah man, wacha tusikilizie hiyo chanjo maybe italeta mabadiliko. You can even imagine, huu mwisho wa mwaka lakini hata zile shamra shamra za sikukuu ni kama hakuna. Labda bongo ndio wataenjoy kuliko nchi nyingi. Now, this is it and we don't have other options to change the situation. Hope Mungu atajaalia na kila kitu kutakuwa sawa next year. Pamoja sana kaka mkubwa.
 
Back
Top Bottom