ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mgeni siku ya kwanza wakuu !Mwanachama wa zamani amekuja kivingine
Mgeni siku ya kwanza wakuu !
Siku ya pili si mgeni maana amejifunza kwa wenyeji.
Mpendwa binafsi nimepambana kurejesha I'd yangu ya zamani ya Hawachi nimeshindwa naipenda kwelikweliAaaargh! Kumbe ni wewe. Inabidi tumwambie Melo aondoe hiyo option ya watu kubadilisha avatar zao wenyewe. Mara eti Franklin Saint. Mara Baba Chicco. Mara sijui Nuzulati. This is too much wallahi....