Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Kumbe we ni Hawachi?Mpendwa binafsi nimepambana kurejesha I'd yangu ya zamani ya Hawachi nimeshindwa naipenda kwelikweli
Hebu njoo tupeane locations bhana december hii😉Mimi sasa😬.!!! Tuachane na hayo Kazi ya kubeba
Mafaili yako hapo bungeni naiweza ndgu mheshimiwa 😌
Weka na bei basi na location wateja tuje
Ha haWeka na bei basi na location wateja tuje
Unakwepa kutoa location sio??Ha ha
Hii nimeikuta sehemu,nikaipenda tu
Mambo vp Carba? Weekend yako ikoje hapo?
Tunapatikana Buzuruga PlazaUnakwepa kutoa location sio??
Mie niko poa sana
Sijui pande hizo za nyakato,hijabu hajambo?
[emoji39][emoji39][emoji39]
Nanyi wanabodi SHIMBA YA BUYENZE na carbamazepine nasema asanteni kwa LIKE !Shukrani kwenu kwa LIKE wakuu Franklin Saint na Sauti ya Mamlaka !