Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I appreciate bro. Actually, I don't have problem with anyone here because I believe we are all friends here though we don't know each in real world setting. Na sikuona kosa langu kwa sababu tunaquote chochote kilichoandikwa regardless aliyeandika whether anataka or not. Kumpangia mtu nini cha kufanya JF isn't the right place. BTW, kuna ignore option, if someone feels like offended unamtupia huko kwa [emoji1005] than making unnecessary noise.

Yeah man, wacha tusikilizie hiyo chanjo maybe italeta mabadiliko. You can even imagine, huu mwisho wa mwaka lakini hata zile shamra shamra za sikukuu ni kama hakuna. Labda bongo ndio wataenjoy kuliko nchi nyingi. Now, this is it and we don't have other options to change the situation. Hope Mungu atajaalia na kila kitu kutakuwa sawa next year. Pamoja sana kaka mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…